Bongo Movies app itakupa movie za swahili kutoka Tanzania zitazokupa raha. Utaenjoy kutazama video hivi kama wewe ni mpenda filamu za uswahilini. Movie hizi
zimetolewa kwa umaharufu ili kukupa raha wewe mwenyewe. Tutakuwekea movie mpya kila siku za kukufurahisha, usikose kuziwatch siku.
Download app hii sasa hivi na uanze kuenjoy movie za swahili(bongo).